NGOJA NIKUPE TIP KDG KUHUSU KUTOA HII.
TWENDE PAMOJA......,👇👇
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya 1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy mafaili kwenye kompyuta yako.
KUENDELEA KUPATA MASOMO MAPYA KILA SIKU DOWNLOAD APK YA TZ COLLAGE KWA UPDATES👇👇
