FANYA HIVIII SIMU ITAMKEE JINA LA MTU ANAYE KUPIGIA.
unacho takiwa kufanya kweny simu yako nenda kweny (settings).
scroll chini kabsa mpka sehemu imeandikwa (assessibility).
>then utaenda sehemu imeandikwa (interaction & dexterity) >utaenda sehemu imeandikwa (answering&ending calls)
HAPOO JUU KABSA KUNA SEHEMU IMEANDIKWA (READ CALLER NAME ALOUD)
HAKIKISHA UMEWEKA ON NA CHIN UTAWEKA ALWAYS .
HVO ITAKUWA IKITAMKA KIJA LA MTU ALIE KUPIGIA ALWAYS HATA UKIWA NA EARPHN n.k kama utakuwa na swali lolote kuhusu hiki uliza kwenye group nitakujibu au wengine watakusaidia zaidi.
by:go directors.